Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 7, 2009

JK katika hafla ya mzalishaji bora wa mwaka wa CTI

JK akipozi na wafanyakazi wa makao makuu ya CTI

JK akipozi na washindi pamoja na mwenyekiti wa CTI aliyemaliza muda wake Mh. Reginald Mengi na Mwenyekiti mpya wa CTI Mh. Mosha

JK akiongea na meneja mkuu wa Shelys Pharmaceuticals, Ashok Gupta, baada ya kumkabidhi kombe la ushindi tuzo ya uzalishaji bora wa mwaka jumla nchini wa chama cha wenye viwanda (CTI) usiku huu katika hafla iliyofanyika hoteli ya Movenpick jijini Dar


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP