Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 2, 2009

Mapokezi ya Serengeti Boyz



Wachezaji wa timu ya Vijana ya Serengeti Boys wakipiga picha ya pamoja na meneja uhusiano wa Serengeti Breweries Teddy Mapunda wa tatu kutoka kushoto mara baada ya timu hiyo kuwasili ikitokaea Sudan ilikoshiriki kombe la Chalenji kwa vijana na kushika nafasi ya tatu.

wachezaji wa timu ya taifa ya chini ya umri wa miaka 17 a.k.a serengeti boys wakirejea leo toka kahrtoum, sudan, ambako walishiriki kombe la challenji ambapo waliibuka washindi wa tatu baada ya kuifunga sudan bao 2-0 katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu. kabla ya hapo walitolewa kwa shida kwenye nusu fainali kwa mabao ya penati. eritrea ndio waliobeba ubingwa kwa kuilaza uganda kwenye fainali

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP