Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, September 8, 2009

Mwandishi alamba cheti cha TAYOA


Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na ukimwi kwa vijana TAYOA Peter Masika kulia akimkabidhi cheti Mwandishi wa habari Gloria Michael kutoka Gazeti la Jambo Leo baada ya kuchangia vizuri mada iliyohusu vijana kubadili tabia katika kupambana na maambukizi ya ukimwi wakati wa semina ya ukimwi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Malelezo leo ambapo imeshirikisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, kampeni hiyo imepewa jina la Kaka Badili Tabia na ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yanayofanyika Desemba 1 kila mwaka.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP