Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, March 18, 2010

Cocacola Mbeya yazindua promotion ya kwea pipa na Cocacola

Kikosi kazi cha Cocacola Mbeya nacho hakikuwa nyuma katika uzinduzi huo wa Kwea Pipa na Cocacola na mwisho waliamua kuchapa snap ya pamoja.


Mmoja wa watumisjhi wa Cocacola Mbeya Munkwa Songolo akizungumza na wauzaji wa bidhaa za Cocacola Mbeya.



Ofisa Msoko wa Cocacola Alfa Joseph Mria akizungumza katika uzinduzi Promotion mpya ya KWEA PIPA NA COCACOLA mjini Mbeya jana.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP