Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

Watoto katika wiki ya maji Pwani.


Jana ilikuwa ni siku maluum kwa watoto wanafunzi wa shule za msingi wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kuhudhuria katika semina ya watoto kuhusu sekta ya maji .semina imewashirikisha jumla ya watoto 150 na wakajadili mambo mbalimbali zikiwemo cchangamoto zinazokabili watoto kutokana na tatizo la kutopata maji ya kutosha. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- Maelezo Pwani.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP