Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, March 24, 2010

Karume azindua majengo Mbweni


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na wananchi na wanafunzi wa chuo cha Afya,Wizara ya afya na ustawi wa jamii,baada ya kuzindua majengo mapya ya chuo hicho huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akipata maelezo wakati alipotembelea sehemu za mafunzo ya aina mbali mbali ya mafunzo ya matibabu mara baada ya kuzinduz majengo mapya ya chuo cha Afya Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar jana


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Afya cha Zanzibar,Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa majengo mapya ya chuo cha Afya Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Sultan Mohammed Mugheiry.





Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Afya cha Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii,wakimsikilza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,alipozungumza nao baada ya kuzindua majengo mapya ya Chuo hicho huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP