Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, March 18, 2010

Rais azindua Maktaba Kuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,na Balozi wa Japan nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa,kwa pamoja wakita utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Maktaba kuu ya Zanzibar iliyopo Gymkana mjini Unguja leo.(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Haroun Ali Suleiman.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,na Balozi wa Japan nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa,kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Maktaba kuu ya Zanzibar iliyopo Gymkana mjini Unguja leo.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP