Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

NMB yawazadia washindi wa NMB Mobile

Meneja Bidhaa wa NMB Julius Konyani (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi mshindi wa promosheni ya tuma pesa kupitia NMB mobile kwa uwapendao na ushinde , Daniel Bundu ambaye aliibuka mmoja wa washindi kwenye promosheni hiyo. Kulia ni Meneja Masoko wa NMB Shilla Senkoro.


Daniel Bundu ( anayebonyeza) ambaye ni mshindi wa promosheni ya tuma pesa kupitia NMB mobile kwa uwapendao na ushinde akianzisha droo ya mwisho ya promosheni hiyo. Kulia ni Chiku Salehe Mwakilishi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, anayefuatia Julio Batalio Mwakilishi to kampuni ya na Julius Konyani ambaye ni Meneja Bidhaa wa NMB

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP