Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

Mbatia atangaza kugombea Ubunge Kawe

Wakazi wa Kawe wakimsikiliz Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi katika viwanja vya Tanganyika Perckers Kawe


Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Mbatia akihutubia wakazi wa Kawe Dar es Salaam wakati akitangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe kwa tiketi ya chama chake. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Ritha Mlaki wa CCM.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP