Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

Mwekezaji wa zao la Jathroper Kisarawe Apongezwa

Mh. Karamagi akizungumza na wafanyakazi wa mradi huo.


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Bibi Hanifa Karamagi, (mwenye mtandio) akifanya ziara ya kukagua mradi wa zao la Mibono wilayani Kisarawe, unaomilikiwa na mwekezaji kutoka nchini Uingereza, kampuni ya Sun Biofuels kwa lengo la kuzalisha nishati ya mafuta ya dizeli. Mzungu ni Meneja Mkuu wa Kampuni hiyo, Peter Auge.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP