Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, March 17, 2010

Tigo yakabidhi zawadi za jezi kwa washindi


Washindi wan promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti, Adam Kimario (kushoto) na Godfrey Raymond wakionyesha zawadi zao za jezi za timu wanazozishabikia mara baada ya kukabidhiwa na Ofisa Uhusuano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia), jijini Dar es Salaam.
Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Chelsea kwa Godfrey Raymond

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Arsenal kwa Adam Kimario, mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti jijini Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP