Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, March 17, 2010

IMF YAMPA TUZO MFANYAKAZI WAKE TAWI LA TANZANIA








Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (kulia) akifafanua jambo jana jijini Dar es salaam kwa waandishi wa habari juu makubaliano waliyofikia kati ya Tanzania na uongozi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF). Kushoto ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa IMF David Robinson .

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akimkabidhi jana jijini Dar es salaam tuzo ya Shirika la Fedha Duniani(IMF) mfanyakazi wa Shirika hilo tawi la Tanzania Mita Samat kwa kufanya kazi kwa bidii hatimaye kufanikisha mkutano wa IMF ulifanyika hapa nchini mwaka jana.Mtanzania huyo ni mtu wa kwanza kupata tuzo ya shirika hilo.



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP