Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

VODACOM FOUNDATION YAANZA AWAMU YA TATU YA KUTOA MISAADA YA KOMPYUTA MASHULENI


Mkuu wa mkoa wa Lindi Said Magalula(katikati)akimkabidhi moja kati ya kompyuta 20 zenye thamani ya shilingi milioni 15 Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Mnolela Bahia Abbakari(kushoto) mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba anaeshuhudia

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi wa Mnolela iliyopo lindi vijijini namna ya kutumia kompyuta ambapo Vodacom Foundation ilitoa msaada wa kompyuta 20 zenye thamani ya shilingi milioni 15 katika shule hiyo na ya Mtama zote za lindi vijijini.


Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akimwelekeza Abdalah Juma namna ya kutumia kompyuta ambae ni mwanafunzi wa sekondari ya Mnolela iliyopo lindi vijijini ambapo Vodcom Foundation ilitoa msaada wa kompyuta 20 zenye thamani ya shilingi milioni 15.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP