Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, March 18, 2010

Mafunzo elekezi ya RITA yafunguliwa Dodoma

washiriki katika mafunzo elekezi kuhusu usajili wa vizazi,vifo na ndoa yanayofanyika kwa siku 2 kuanzia leo katika hoteli ya New Dodoma Hotel mjini Dodoma.Mafunzo haya yamefungulkiwa asubuhi hii na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Mh.Oliver Mhaiki na kushirikisha makatibu tawala wa wilaya za Tabora, Dodoma, Morogoro na Singida pamoja na wasajili wasaidizi wa shughuli za vizazi,vifo na ndoa.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa RITA Bw.Phillip Saliboko, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa haki za kisheria-RITA Bi. Emmy Hudson pia wapo kusimamia na kuratibu mafunzoi haya muhimu.


Mgeni rasmi (suti ya kijivu, kati) akiwa na uongozi wa
RITA pamoja na washiriki katika mafunzo hayo

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP