Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 12, 2010

KKKT Magharibi kujenga Chuo Kikuu

Askofu wa Kanisa la KKKT DAYOSISI KUU YA Magharibi, Elias Bubelwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa uchangiaji wa harambee kwa njia ya SMS Dar es salaam kwa ajili ya kuchangia uanzishwaji wa chuo kikuu cha Joshua Kibira university college(JOKUCO) Kagera.


Mjumbe anaesimamia michango midogomidogo Bw. Charles Mwijage akimwonesha tv, itakayotolewa wakati wa uchangiani wa harambee, Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Eliasa Bubelwa Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP