Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, March 25, 2010

KCB BENKI YATOA ZAWADI YA PASAKA KWA YATIMA


Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KCB, Mhe Janet Mbene akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na vitu mbalimbali ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Pasaka kwa watoto yatima wa kituo cha Mbagala Yatima Group Trust Fund kituoni hapo, Mbagala, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa KCB, Christina Manyenye, Mwenyekiti wa kituo hicho, Winfrida Lubanza na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Joram Kiarie.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP