Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, March 16, 2010

Rais Karume ahudhuria Maulid ya Kuzaliwa Mtume S.A.W

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALhaj Dk Amani Abeid Karume,(wa tatu kulia), Naibu Waziri Kiongozi na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Ali Juma Shamuhuna,(wa tatu kushoto)walijumuika na waislam wengine katika Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tumbatu Gomani,pichani kulia mwakilishi wa jimbo la Tumbatu Haji Omar kheir.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Wazee wa Tumbatu mara baada ya kuwasili katika bandari ya Tumbatu,kuhudhuria maulid ya kila mwaka ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W).yanayofanyika katika msikiti wa Ijumaa Tumbatu Gomani. Picha na Ramadhan Othman, Tumbatu.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP