Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 26, 2010

MAKAMU WA RAIS DR. SHEIN ASHIRIKI HARAMBEE YA KUCHANGIA HOSPITALI YA BUGANDO

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Mzee Rajan ambaye ndiye alikuwa mhisani Mkuu wa chakula cha jioni kilichaandaliwa katika hotel ya Mariot jijini London kwa lengo la kukusanya fedha za kuimarisha mindombinu ya Hospitali ya bugando pamoja na chuo cha Udaktari cha Bugando.


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Sinare Maajar, wakiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Chama cha Tuoch Foundation Lowell Bryan na Mkwewe, chama ambacho ndiyo kunakusanya michango kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya Hospitali ya Bugando, hafla ya kuchangisha fedha hizo imefanyika katika hoteli ya Mariot jijini London Uingereza.
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na balozi wa Tanzania nchini UIngereza Mwanaidi Sinare Maajar wakizungumza na mmoja wa waalikwa walioshiriki katika chakula cha kuchangia fedha za kuimarisha miundombinu ya Hospitali ya Bugando,Chuo cha Udaktari Bugando na Udhamini wa wanafunzi wanaosomea udaktari chuoni Bugando katika hoteli ya mariot London.
Picha na Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP