Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, March 23, 2010

Hitimisho la wiki ya maji Pwani

Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Alex Kaaya akimuonyesha Dawa mbalimbali zinazotumika kusafisha maji kabla ya kusafiriswa na kumfikia mtumiaji wakati wa kilele cha wiki ya maji iliyomalizika jana katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Haajat Amina Said Mrisho


Hapa akitoka kukagua banda la Kiboko wakati alipotembelea banda hilo.
Picha na Mwanakombo Jumaa wa Idara ya Habari Maelezo

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP