Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 26, 2010

Mama Salma Kikwete Babati

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi vifaa vya hospitali Muuguzi Suzan John wa kituo cha afya cha Galapo huko Babati tarehe 25.3.2010.


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimia mtoto mmoja wakati alipotembelea kituo cha afya kilichopo katika kijiji cha Galapo,wilayani Babati tarehe 25.3.2010.


Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwakabidhi hundi ya shilingi milioni moja uongozi wa kikundi cha wajasiriamali cha Mshikamano kilichoko mjini Babati tarehe 25.3.2010.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP