Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, March 18, 2010

CRDB yaipiga jeki michezo ya UMISETA


Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Mh. Mwantumu Mahiza akipokea vifaa vya michezo kwa ajili ya michuano ya UMISETA toka kwa benki ya CRDB . Michezo hiyo ya Umoja wa Michezo ya Sekindari nchini inazinduka mwaka huu baada ya serikali ya awamu ya nne kuamua kuifufua ili kukuza michezo nchini

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP