Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 12, 2010

Precision Air yasaidia waathirika Kilosa

Meneja Masoko wa Kampuni ya ndege ya Precision Air, Emillian Rwejuna (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Halima Dendego, kofia na fulana za kuwagawia waathirika wa mafuriko, hafla iliyofanyika sanjari na kampuni hiyo kukabidhi mifuko 200 ya saruji na mabati 200 vyenye thamani ya sh. milioni 5.4, kusaidia ujenzi wa nyumba za walioathirika hao.

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu, Alfonse Kioko wa Kampuni ya ndege ya Precision Air, Alfonse Kioko (kulia), akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Halima Dendego, msaada wa saruji mifuko 200 na mabati 200 vyenye thamani ya sh. milioni 5.4, kusaidia ujenzi wa nyumba za walioathirika kwa mafuriko wilayani humo. Hafla hiyo ilifanyika juzi mjini Kilosa.

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu, Alfonse Kioko wa Kampuni ya ndege ya Precision Air, Alfonse Kioko (kushoto), akiwafariji waathirika wa mafuriko ya Kilosa, alipowatembelea juzi kwenye kambi ya Mazulia, muda mfupi kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji na mabati 200 vyenye thamani ya sh. milioni 5.4, kusaidia ujenzi wa nyumba za walioathirika hao, wilayani humo.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP