Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, March 17, 2010

Zantel yazindua Total Solutions

Meneja Maendeleo ya Biashara Zantel Bw. Michael Magambo akizingumzia bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na Zantel wakati wa hafla ya maonyesho iliyofanyika jana jioni.


Sehemu ya maonyesho ya bidhaa na huduma za intaneti zinatolewa na Zantel


Chief Commercial Officer wa Zantel Bw. Norman Moyoakiwahutubia wageni waalikwa wakati wa hafla ya maonyesho ya bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na kampuni ya Zantel.


Wageni waalikwa wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa Zantel wakati wa hafla ya maonyesho ya bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na kampuni ya Zantel.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP