Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 19, 2010

Richa Adhia aagwa na Ubalozi wa India


Balozi wa India Nchini Tanzania K.V Bagirath wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Samsung Miss Tanzania India Richa Adhia wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jana jioni nyumbani kwa balozi Oysterbay jijini Dar es salaam, Richa Adhia anaondoka jumapili kwenda nchini Afrika Kusini ambako anatarajiwa kushiriki kwenye shindano la Miss India Worldwide litakalifanyika katika jiji la Durban machi 27/ 2010


Balozi wa India Nchini Mh. K.V Bhagirath wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Samsung Miss Tanzanian India wa tatu kushoto pamoja na maafisa wengine wa ubalozi wa india na waratibu wa Samsung Miss Tanzania India pamoja na wageni waalikwa wenginea katika hafla ya kumuaga mrembo huyo iliyofanyika nyumbani kwa balozi. Oysterbay jijini Dar es salaam jana jioni.

Mshauri wa balozi masuala ya habari na Utamaduni Sanjeev Manchanda akibadilishana mawazo na Samsung Miss Tanzania India Richa Adhia wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika nyumbani kwa balozi Oysterbay jijini Dar es salaam jana jioni. Picha zote kwa hisani ya Fullshangwe Blog (http://fullshangwe.blogspot.com/)

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP