Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 8, 2010

Naibu Waziri atembelea makazi ya wakoma ya Sukamahela Wilayani Manyoni


Naibu Waziri Dk. Aisha Kigoda akisalimiana na mmoja wa wakazi wa makazi wagonjwa wa ukoma Sukamahela katika kukagua nyumba zilizokarabatiwa hivi karibuni na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Naibu Waziri aliongea na wazee na watu walioathirika na ugonjwa wa ukoma katika makazi ya Sukamahela, wilayani Manyoni.

Bi Amina akimwongoza Naibu Waziri kwenye nyumba aisiyo katika makazi hayo.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP