Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 12, 2010

Tsere aapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.

Balozi wa Tanzania Malawi, Patrick Tsere akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia.


Balozi Patrick Tsere kulia akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu tawala waliopishwa nae jana Ikulu Dar es Salaam.



Rais Kikwete akisaini hati ya kiapo ya Balozi Patrick Tsere

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere Ikulu Dar es Salaam


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP