Hapa wakipata huduma ya maji yaliyotolewa na wasamaria wema huku mmiliki wamtandao huu akijitolea mikate kwa ajili ya watuhumiwa wote ambao walikuwa wakilia njaa muda wote
Wahamiaji haramu wakiwa mahakama ya mkoa wa Iringa wakisubiri kusomewa shitaka lao
Hapa wakiwa wameinamisha vichwa chini wakilalamika njaa na kiu ya maji kabla ya kusaidia na wakazi wa mji wa Iringa
Wanawake wawili kati ya watatu kutoka Somaria na Ephiopia ambao walikuwemo katika msafara huo. Picha zote na Francis Godwin wa Iringa
0 comments:
Post a Comment