Mtandao wa jinsia Tanzania waadhimisha siku ya wanawake duniani
Wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali walikuwepo pia kushuhudia maadhimisho hayo yaliyokuwa na shamra shamra za kila aina
Mwenyekiti wa TGNP Prof.Ruth Meena akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani jana mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Mkurugenzi mtendaji wa TGNP,Bi Ussu Mallya akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari jana mchana kuhusiana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani,ambapo mada kuu ilikuwa ni "Miaka 15 ya Beijing;Rasilimali ziwafikie wanawake waweze kuleta mabadiliko katika uchaguzi".
Prof.Marjorie Mbilinyi ambaye pia ni mtaalamu/mchambuzi wa mambo ya siasa akichangia mjadala wazi mbele ya wageni waalikwa jana mchana wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani,yaliyofanyika katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Kutoka kulia ni Bi Rose Shayo kutoka chuo kikuu Dar Es Salaam (UDSM),Mkurugenzi mtendaji wa TGNP,Bi Ussu Mallya,Mwenyekiti wa TGNP Prof.Ruth Meena ambaye pia ni mtaalamu uchambuzi mambo ya siasa,kwa pamoja wakifuatilia yalikuwa yakijiri kwenye uwanja wa maadhimisho hayo jana mchana
Mkurugenzi mtendaji wa TGNP,Bi Ussu Mallya akisoma hotuba fupi kuhusiana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani,ambapo mada kuu ilikuwa ni "Miaka 15 ya Beijing;Rasilimali ziwafikie wanawake waweze kuleta mabadiliko katika uchaguzi".
Wanaharakati wakisherehekea maadhimisho hayo kwa furaha na shangwe za kutosha kabisa,maadhimisho hayo yalikuwa na madaa kuu ambayo ilikuwa ni "Miaka 15 ya Beijing;Rasilimali ziwafikie wanawake waweze kuleta mabadiliko katika uchaguzi".
Wanaharakati wakiwa wamebeba mabango yaliyobeba jumbe mbalimbali wakisherehekea maadhimisho ya siku ya wanawake jana mchana Makao makuu ya Mtandao wa Jinsia Tanzania.

0 comments:
Post a Comment