Kijana huyu baada ya kushushwa na basi hilo katika kituo hicho cha mabasi ndipo,wasamaria wema walipoamua kumsogeza pembeni ya barabara kuepusha asigongwe na magari na kutoa taarifa katika kituo kilichopo karibu na maeneo hayo cha daraja la Salender a.k.a Manyoya. Picha na MO Blog
0 comments:
Post a Comment